Ona hizi Picha za Zari akionesha Mimba yake...Diamond Platnumz Aomba Ushauri wa Jina la Mtoto Wake wa Kiume


Bongo fleva super staa Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa kiume na kwamba angependa mashabiki wake watoe mitazamo yao juu ya jina gani ampe mtoto wake.

Baadhi ya picha za Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ alizotupia mtandaoni zilionyesha vizuri mimba yake. Mastaa hao wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenzi wake mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz.

Mpaka sasa tunafahamu kuwa mwezi Decemba ndio Zari atajifungua mtoto huyu wa pili.Kupitia instagram yake Diamond aliandika hivi…Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI