Featured
Loading...

SAD NEWS:Kichanga Chakanyagwa na Gari Baada ya Mama yake Kukitelekeza Barabarani


BAGAMOYO: Kichanga chakanyagwa na gari na kufariki baada ya mama yake kukitelekeza pembezoni mwa barabara kwenye mfuko wa plastiki.
Mama wa kichanga hicho hajapatikana, wananchi waombwa kusaidia kupatikana kwake kwa kutoa taarifa

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright TUANGAZE BONGO
Back To Top