VIDEO: RAIS MAGUFULI - SIKU HII YA LEO NIMEPATA MUUGIZA WA KUSHIKANA MKONO NA MH. LOWASA

Rais Magufuli alipokutana uso kwa uso na Edward Lowassa katika Jubilei ya miaka 50 ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa uliopo kando ya kanisa la Mtakatifu Petro-Oysterbay Dar es Salaam.