Lowassa: Serikali ya CCM ina Watu Wabaya Sana Kwani Walimuombea kifo Wakati wa Kampeni.Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, E. Lowassa amesema Serikali ya CCM ina watu wabaya sana kwani walimuombea kifo wakati wa kampeni.

Adai mabadiliko hayazuiliki kwani ndio muelekeo wa dunia kwa sasa.