KIJANA AUWAWA NA KUPORWA BAJAJI KIGAMBONI

Wananchi wamekuwa wakilillalamikia pori hilo kwa kutumika kama kichaka cha kutekelezea vitendo vya ubakaji, uporaji mpaka vitendo hivyo viovu vimekuwa ni kawaida katika pori hilo kwa miaka mingi sasa
KIGAMBONI, DAR: Kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Sam, amekutwa ameuawa katika pori la NAFCO. Inadaiwa ameporwa Bajaji.
– Kwa muda mrefu pori hilo limekuwa likilalamikiwa kuwa limekithiri kwa vitendo vya uporaji na ubakaji