Breaking News..Timua Timua Yaanza CCM,Magufuli Amtimua Uanachama Sophia Simba,Nchimbi na Kimbisa Wapewa onyo Kali..!!!


Mwanachama Mkongwe wa CCM na Aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumiya ya Wanawake Taifa UWT,Sophia Simba Amevulia Uanachama wa Chama na Kamati ya Maadili ya Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM ,NEC,.

Aidha Balozi Emannuel Nchimbi na Adam Kimbisa Wamepewa Onyo Kali Juu ya Tabia na Mienendo yao Isiyoridhisha dhidi ya chama.

Taarifa Zaidi Zinakuja...