MREMBO JIKE SHUPA AFUNGUKA KUHUSU VITENDO VYA USAGAJI INSTAGRAM

Video Queen maarufu Jike Shupa kupitia FridayNiteLive na Sammisago amefunguka kuhusu kitendo cha kumbusu video queen mwenzake anayefahamika kama Nai Official kwenye mitandao ya kijamii.
Jike Shupa amewahi kuonekana kwenye video ya Nuh Mziwanda ‘Jike Shupa’ na Nai yupo kwenye video mbili maarufu ambazo ni #Mazoea ya Billnas na #UsimsahauMchizi ya Roma & Moni.
Kwenye #FridayNiteLive  Jike Shupa amesema “Zilepicha na kile kitendo nilifanya wakati nimelewa sana, sio tabia yangu kabisa, zilikuwa pombe tu, ni pombe tu, naomba Watanzania wanisamehe kwa kitendo kile ,naomba msamaha, zilikuwa pombe, mimi sio msagaji

Pia Jike Shupa amesema kuchwana na kukanwa na Wema Sepetu ni sawa tu kwa kitendo kama kile ata yeye angejikana.