Ndoa ya Babu Tale Taabani...Mkewe Afunguka MazitoNdoa ya meneja maarufu mwenye historia na muziki wa Bongo Fleva ina bad news baada ya maisha ya kustay takribani miaka kumi ndani ya ndoa

Taarifa zinadai kuwa vimchepuko vya @Babutale ndio chanzo cha ugomvi wake na mkewe Shamimu

Kila wakati mke wa meneja akigundua meneja hukimbilia mbio kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM na kupost picha ya mkewe akionyesha jinsi anavyompenda mke wake kwa dhati.

Unaambiwa kuna ka ugomvi kame-pop up now kwenye familia ya meneja, na mke ametoa baraka zote kwa meneja aendelee na mambo yake sababu amekuwatired na tito za mumewe kumcheat kila wakati.

Unaambiwa meneja amekuwa zaidi ya sungura baada ya mke kugundua meneja anacheat. Meneja mbio kwenye mahakama yake ya haki ktk page yake ya Insta akapost picha na mkewe kuwa mambo shwari kabisa na maneno matam juu.

Mke wa meneja mambo ya mkoleni akayatupa kando Kuwa vingine ni siri ya ndani akavimwaga kwenye post ya meneja! post yenyewe inaonekana hapo juu kwa video