Pichazzz..Hivi Ndivyo Makada wa CCM Walivyomshushia Kipigo cha Paka Mwizi Mbunge wa Chadema Aliyepita Kwenye Jengo la CCM Makuu Dodoma...!!!!


Mbunge wa Chadema Kunti Majala ameokolewa na Polisi Mara baada ya  dereva wake kushushiwa kipigo na makada wa Chama Cha Mapinduzi ,Baada ya Kuendesha Gari Hilo Karibu na Makao Makuu ya CCM Dodoma.
N:B Jengo lipo karibu na barabara magari yanapopita kwahiyo mbunge alikuwa anapita barabarani