STEVEN NYERERE AAMUWA KUJIBU MASHAMBULIZI YA TID KUMUITA PANYA


 Msanii wa vichekesho Steve Nyerere ameibuka na kumjibu msanii TID huku akieleza kufurahishwa na hatua ya TID kumfananisha na panya kwa kuwa inaonesha jinsi alivyo mjanja ambaye anaweza kujitafutia na kusema

Wakati akifurahi kufananishwa na panya, Steve amemfananisha TID na paka ambaye husubiri kutengewa kila kitu.

Steve Nyerere alisema hayo kupitia kipindi cha eNewz na kudai kuwa yeye hawezi kuanza kujibishana na TID sababu kwake TID si kitu chochote.