CCM Nyang'anyang'a,Chalii Kifo Cha Mende Uchaguzi Mdogo Tabora..Chadema Yakomba Kura Kila Kona..!!!


TABORA YA LEO SIO YA MWAKA 77.
Matokeo Uchaguzi Mdogo wa Vijiji na Vitongoji wilaya ya Uyui mkoani Tabora 23/4/2017.

CCM Ya pigwa na chadema

1.KITONGOJI CHA NYANGALAMILA CCM 85, CDM 156✔
2.KITONGOJI CHA NDONO MILUMBANI CCM 15,CDM 32✔
3.KIJIJI CHA ITOBELA CCM 298, CDM 232
4.KITONGOJI CHA KINAMAGI MIHONGONI CCM 31, CDM 49✔
5.KIJIJI CHA NDOBA CCM 67, CDM 123✔
6.KIJIJI CHA MSIMBA CCM 269, CDM 288✔
7.KITONGIJI CHA ITINKA CCM 8 CDM 22✔
8.KITONGIJI CHA IBADI CCM 22, CDM 26✔
9.KITONGIJI CHA NYANGALAMILE-SHITAGE CCM 45, CDM 117✔
10.KITONGOJI CHA BUKALA CCM 21 CDM 167✔
11. KITONGOJI CHA SESELA CCM 47, CDM 21
12.KITONGOJI CHA KABUMBULI CCM 81, CDM 5.
13.KITINGOJI CHA IMALAUDUKI CCM 90, CDM 230✔
14.KITONGOJI CHA IPUMLO CCM 45, CDM 72✔
15.KITONGOJI CHA UGOWOLA "B" CCM 85, CDM 158.✔
16.KIJIJI CHA NZUBUKA CCM 195, CDM 502✔