Sean Paul katoa video ya colabo yake na Migoz ‘Body’ itazame hapa…..

BURUDANI

Dance Hall King Sean Paul katoa video ya colabo yake na kundi la rapa la Migoz ‘Body’ iliyofanyika mjini Miami
Wimbo wa “Body” upo kwenye album ya kwanza ya SP toka kusainiwa na Island Records.