INAUMIZA SANA: Alichokifanya Zari, Nyumbani Kwake Baada ya Ivan Kufariki, INASIKITISHA SANA

Yakiwa yamepita masaa machache toka aliyekuwa mume wake Ivan Semwanga kuzikwa, Mwanamama Zari ameendelea kuomboleza nyumbani kwake, kupitia account yake ya Instagram,
Zari amepost picha ya Ivan akiwa ameiweka nyumbani kwake, na mishumaa inayowaka na kuandika ujumbe uliowagusa wengi. Zari aliandika; Death robbed you from us but I strongly believe you are in a better place now that you are with God.
Your physical presence will be missed but you will forever be remembered. Till we meet again, Rest in internal peace Ivan The Don . Nini maoni yako hapa? Weka Kommenti yako hapa chini