VIDEO: CCM Yazungumzia Kutoonekana Hadharani kwa Katibu mkuu wa Chama Abdulrahman Kinana

Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana hajaonekana hadharani kwa muda sasa hivi na hiyo imeacha maswali mengi

Jana  kupitia taarifa ya habari ya Azam, katibu wa itakadi na Uenezi CCM taifa Hamphrey Polepole alizungumza kuhusu hali ya  Kinana.

==>Msikilize hapo chini akiongea
 
Advertisement