Baada ya Kudaiwa Kuigiza Sauti ya Mbowe Akiongea Kimahaba na Wema Sepete..Steven Nyerere Afunguka Haya Mazito..!!!


Msanii na mchekeshaji mwenye vipaji vya kuigiza sauti mbalimbali za viongozi mbalimbali wa serikalini na watu mbalimbali Tanzania, akiongea na baadhi ya waandishi wa habari amesema kwamba hawezi kufanya ujinga huo wa kuigiza sauti za watu na kwamba Mh Freeman Mbowe ni kiongozi mkubwa sana na hawezi kufanya hivyo na kusisitiza kwamba wale wanaoelewa watakuwa wamesikia hiyo audio note na kujua kwamba sio mimi.

Asema nina mke na watoto leo hii nimtukane Mh Freeman mbowe mwenye wanachama zaidi ya Milioni 30 najitakia nini mimi (steven), siwezi kufanya hivyo