Ilitokea Lakini Haijawahi Kuandikwa..Fahamu Tukio la Padri Kumzaba Kibao Mwalimu Nyerere Kanisani..!!!


Mwalimu nyerere alikua na tabia ya kila mahala anapoenda kama kuna kanisa karibu basi huwa anaingia kusali haswa misa za wiki asubuhi.Alipotembelea mkoa Wa Kilimanjaro kuna kanisa la parokia ya karanga magereza aliingia kusali.sasa akaketi kwenye viti vya mbele ambavyo vimetengwa kwa ajili ya watawa tu.Akaingia padri mmoja anaitwa Jerome .alipita mlango Wa nyuma kwa hiyo hakujua kama ni mwalimu nyerere.akamzaba kibao cha nguvu akimwambia "nani kakuambia ukae kwenye viti vya watawa".mwalimu kugeuka padri bado kidogo azimie.akamuomba msamaha.misa ikafanyika wakatoka wakicheka na kwenda kupata breakfast ya nguvu.

Chnzo JF