Majibu ya Gigy Money baada ya kuandamwa kuhusu kukonda na kupoteza muonekano wake…..

Baada ya kuandamwa na comments kuwa amekonda sana na kupoteza munekano wake, Video model maarufu Tanzania Gigy Money ametoa majibu yake Instagram leo June 2,2017.
Kupitia IG yake Gigy ameandika ” mnakesha kuongeleaaa mwili wangu nimekonda mnaongea nilivyokua kibonge mlikua pia mnanisema aya kwa anaehitaji ninenepe anileteee matunda na vyakula vya mafuta afu mna mind kama kuna mtu nalala nae uku insta kwanza mo j wangu anaupenda huu mwili ananiita katoto sexy😋😋😋😋 basi akisema hivyo nzidi kufanya situps na squats 😎 #muachanenamaishayawatumfanyemaishayenu “
  
Miongoni mwa picha maarufu za zamani za Gigy ilikuwa hii….
#SammisagoNEWS