VIDEO:Sitti Mtemvu Azungumzia Rushwa ya Ngono Kamati ya Miss Tanzania


Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amefunguka kuzungumzia tuhuma za rushwa ya ngono ambazo zimekuwa zikielekezwa mara kwa mara kwenye kamati inayoandaa mashindano ya urembo nchini, Miss Tanzania. 

TAZAMA VIDEO: