Amber Lulu Akiri Kulala Na Chizi Kama Atampa Ela

Amber Lulu Akiri Kulala Na Chizi Kama Atampa Ela
Wadada wengi wa mjini imkuwa ni kama desturi kwao kutembea na mtu yeyote ilimradi mtu huyo awe katika hali nzuri ya kimaisha na aweze kumppa el, hata hivyo wapo wasachana wazuri na wadogo lakini wanajikuta wakijiingiza katika mahusiano na watu wasiendana nao kwa  umri au kwa kila kitu.Hii imethiirika pia kwa baadhi ya wasanii wa kike Tanzania na mmoja wapo akiwa ni Amber Lulu anasema anaweza kutemba hata na chizi ilimradi ampe ela.
Mwanadada huyo anaefanya vizuri katika kazi zake za muziki na anaetokea vizuri katika video za wasanii mbalimbali amefunguka na kusema kuwa yeye habagui mtu yoyote ilimradi tu mtu huyo awe anampa ela.Akiongea katika moja ya mahojiano na waandisho wa habari Amber Lulu alisikika akisema”mimi ninaweza kutembea hata na kichaa, as long as ananipenda, ananitake care , msambwanda anautake care vizuri mimi wala sina shinda hata chizi mi natembea nae, as long as ananiridhisha vizuri  mimi wala sina shida’ alifunguka Amber Lulu
Amber lulu ambae kipindi cha awali kala hajaanza kutokea katika video mbalimbali alikuwa alipiga picha za uchi na alikuwa na tetesi za kufanya biashara ya ngono , hata hivyo mwanadada huyu anaonekana kuwa anaweza kufanya kitu chochote ilimradi yeye amepata ela itakayo weza kumudu maisha yake na sio kuwa na mapenzi ya kweli na mtu huyo .Amber Lulu ni rafiki wa karibu sana na msanii na video queen Gigy Money na wanaonekanakuwa kazi zao zinafanana.
Katika kazi zake za muziki moja ya nyimbo zake ni pamoja na watakoma aliomshirikisha Country Boy .Amber Lulu alishawahi kutoka kimapenzi na msanii Young Dee na kufikia hatua ya kumchora tatoo lakini walipokuja kuachana aliifuta. Hivi jujzijuzi Amber Lulu tena alikuwa na tetesi za kuvujisha picha zilizokuwa zikimuonyesha yeye na msanii kutoka Kenya Prezzo aliekuja Tanzania na kusemekana kuwa alikuja Tanzania kwa ajili ya mrembo huyo, ingwa yeye mwenyewe alikuwa akipinga tetesi hizo.