DIAMOND KAFUNGUKA KUHUSU MAUZO YA 6 PLATNUM, OMARION NA MENGINE


Muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz Jumapili ya October 29 aliwasili wa uwanja wa ndege Dar es Salaam akiwa na muimbaji wa Marekani Omarion, ikiwa ni siku moja imepita toka isambae video clip wakionekana kufanya video ya wimbo mpya, AyoTV imempata Diamond.

Source Millard Ayo

No comments: