Mambo 8 ya vituko na kusisimua yaliyotokea kwenye harusi ya Joti (+video)

Joti ni Mchekeshaji maarufu wa Tanzania na harusi yake ilitawaliwa pia na baadhi ya vituko vya hapa na pale, hii video fupi hapa chini itakukutanisha na mambo 8 ya vituko pamoja na kusisimua kutoka kwenye harusi hiyo
VIDEO: Harusi ya Joti.. alivyoingia ukumbini kwa sebene, bonyeza play hapa chini kumtazama

No comments: