VIDEO: Lazaro Nyalandu akitangaza kujiuzulu Ubunge

Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ametangaza kujiuzulu Ubunge wake pamoja na nafasi zake zote ndani ya CCM, bonyeza play hapa chini kumtazama mwenyewe akiongea.