BREAKING: Wageni waondolewa Blue Pearl Hotel Ubungo, Hoteli yafungwa kwa nguvu

Kampuni ya udalali ya YONO asubuhi ya leo November 9, 2017 imeifunga Hotel ya Blue Pearl iliyopo kwenye jengo la Ubungo Plaza Ubungo Dar es salaam kutokana na Mmiliki wake kudaiwa kodi ya pango.
AyoTV na millardayo.com zimemnukuu Boss wa YONO akisema Mmiliki wa Hoteli hiyo anadaiwa kodi ya pango ya BILIONI 5 na Milioni 700 za Kitanzania ambapo wakati wanakwenda kumfungia asubuhi hii Wageni walikuwepo vyumbani na ikawalazimu waondolewe kuhamishiwa kwenye Hoteli nyingine.
Hii video hapa chini ina taarifa kamili…

No comments: