Hatimae Nape Nnauye afunguka kujiuzulu kwa Nyalandu

Ishu ya Lazaro Nyalandu kujiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ikiwemo Ubunge wa Singida Kaskazini imekua kubwa na kila mmoja alieweza kutoa maoni yake ameyatoa.
Leo ni zamu ya Nape Nnauye, mmoja wa watu wenye majina na umaarufu kutoka ndani ya CCM ambapo ameandika >>> “Chama cha siasa ni ITIKADI, itikadi ni IMANI.Siamini SANA katika kubadili Imani KIENYEJI.Nitashughulikia MAPUNGUFU nikiwa NDANI sio NJE“‬
ULIPITWA? Hii ni

No comments: