Hii ni VIDEO sio picha, sekunde 59 za ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya

Gumzo linazidi kuthibitishwa kwamba kweli wawili hawa wamefunga ndoa, wengi walidhani ni kiki au ni video sababu Dogo Janja ni mdogo kiumri kwa Irene Uwoya lakini ukweli ni kwamba mapenzi yao ndio yamewafikisha hapa….. bonyeza play kwenye hii video hapa chini kujionea
video ya harusi kwa hisani ya Fareed Uwezo

No comments: