"Mastaa Walevi Ndiyo Wanakiona cha Moto na Kulalamika Vyuma Vimekaza ” Amanda

"Mastaa Walevi Ndiyo Wanakiona cha Moto Maana Vyuma Vimekaza ” Amanda
STAA wa filamu za Kibongo, Amanda Poshi ameibuka na kueleza kuwa kutokana na watu wengi kulia ugumu wa maisha kwamba vyuma vimekaza, wanaokoma na kukiona cha moto zaidi ni wale mastaa walevi.Akipiga stori na Amani, Amanda alisema wapo mastaa waliokuwa wamezoea kunywa pombe na kulewa kila siku lakini kwa kipindi hiki wanakoma kwa kuwa hawana fedha za kunywa kama zamani hivyo anajipongeza kwa kuwa katika maisha yake yote starehe yake kubwa ni soda tu.

“Sina hata tatizo na mtu maana naenda zangu sehemu nzuri nakaa nakunywa soda huku nikitafakari mipango yangu yaani najiachia kwa raha zangu maana ndiyo starehe yangu kubwa, mastaa waliozoea kulewa ndiyo wanakoma maana vyuma vimekaza kweli,” alisema Amanda bila kuwata

No comments: