Mbunge wa Karagwe ampigia magoti Rais Mstaafu Kikwete (+video)

Ni njia ambayo ameitumia Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa kufikisha ujumbe ambao alitaka ufike kama ulivyo kwenye tukio ambalo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alialikwa kama mgeni rasmi lakini akashindwa kuhudhuria na kuwakilishwa na Mkuu wa Mkoa.
Ilikua ni kwenye uzinduzi wa majengo mapya ya chuo cha kilimo Karagwe mkoani Kagera ambapo Bashungwa alipiga magoti kuweka msisitizo wa ombi lake kwa Mwakilishi wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ili alifikishe kwa JK na JK alifikishe kwa Rais John Pombe Magufuli.
MTAZAME KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI…

No comments: