Nyalandu Kubadilisha Gia Angani??....Agoma Kupeleka Barua Ya Kujiuzulu Kwa Spika....CCM Ya Mshauri Hili s..Spika amesema kuwa hajapokea barua ya kujiuzulu kwa mbunge huyo, ila Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema amepokea barua ya Katibu Mkuu CCM ikimuarifu kuwa walishaanza kumchukulia hatua Nyalandu kutokana na kauli na vitendo vyake. Ambapo CCM imeeleza kuwa Oktoba 30 walimuandikia Spika barua kuwa, Nyalandu amepoteza sifa za uanachama wake na kwamba wamemvua nafasi zote za uongozi, 


No comments: