Video:Hivi Ndivyo Joti na Mkewe Wanavyokula Raha Katika Fungate Yao

Hivi Ndivyo Joti na Mkewe Wanavyokula Raha Katika Fungate Yao

Mara baada ya kufunga ndoa weekend iliyopita, mchekeshaji Joti na mkewe wameamua kusherekea fungate yao katika mbuga ya wanyama ya Serengeti.
Kwenye ukrasa wake wa instagram aliposti video mbili na kuandika maneno haya

"Baba anapotafuta furaha yake ni kuona Familia inakula pamoja,ila hii familia hapana kwa kweli,🤣🤣#FarufaruSerengeti @juma_jux @vanessamdee @bernabeu_madrid @missmandoza
Kwenye maisha sio kila vita ni ya kwako,Na sio kila vita inakuhusu,Jifunze kuzitazama na kuzikagua kwanza ili kuzipima vita zinazokujia tokea mbali,ili ufanye maamuzi ya kuingia au kutokuingia,ukiparamia kila vita mwishoni utagundua kuwa umepoteza nguvu nyingi na akili kupambana na maadui ambao wala hawakuwahi kuwa adui zako,ukiingilia vita isio yako utashindwa kirahisi hata kama ulikuwa mtu wa kushinda,Chagua vita unayoweza kupambana nayo..🙏🙏#saboracamp#OurSingita#SingitaSaboraCamp 

No comments: